
Yanga yashenyentwa na alhilal
ni mtanange wa kombe la africa maarufu kama caf uliopigwa jioni ya leo katika dimba la taifa la benjamin mkapa dar es salaam , ambapo yanga imeambulia kipigo cha bao mbili kwa sifuri magoli yaliyofungwa na mshambuliaji coulibaly goli la kwanza , na mwishoni kabisa mozami akimalizia goli la pili
Source : benga mshedede