YANGA YAPOTEZA MCHEZO WAKE ZIDI YA MC ALGER

YANGA YAPOTEZA MCHEZO WAKE ZIDI YA MC ALGER

ni mara ya pili mfululizo yanga kupoteza mchezo wake kwenye hatua ya makundi ya CAF Champions League baada ya siku ya jana kufungwa magori 2-0 zidi ya MC ALGER, kituo kinachofata sasa ni DR CONGO dhidi ya TP mazembe.

Source : by queen