
WAKENYA WAMJIA JUU DIAMOND
wakenya wamjia juu diamond baada ya msanii huyo kuto perform kwenye tamasha lililoandaliwa usiku ya jana nchini kenya, wengi wao wamechukizwa na hilo, kwani wengi walijiandaa kumuona diamond akiperfom lakini akuweza kutokea. Inasemekana diamondplatnumz alitaka anze kabla ya Willy pozee ili aende kwenye appearance sehemu nyingine.