WAFUNGWA 1548 WASAMEHEWA

WAFUNGWA 1548 WASAMEHEWA

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Samia suluhu Hassan katika kuazimisha miaka 63 ya Uhuru tanzania bara ametangaza msamaha kwa wafungwa 1548 ambapo wafungwa 22 kati yao wameachiliwa huru na wafungwa 1526 wamebaki gerezani kumalizia sehemu ya kifungo kilichobaki baada ya kupewa msamaha.

“Ni matarajio ya serikali kuwa wafungwa walioachiwa huru leo wayarejea tena katika kushirikiana na wananchi wezao katika kujenga ujenzi wa taifa letu na kujiepusha kutenda makosa ili wasijikute tena wamerejea gerezani”