UNANIKOSEA KUSEMA SINA WATOTO

UNANIKOSEA KUSEMA SINA WATOTO

zuchu amwambia mtangazi kuwa anamkosea anaposema ana watoto kwani tayari watoto anao watoto wa nasibu wote ni wake, kwani tayari yeye ni mama na anawalea watoto wa nasibu pia na mara nyingi anakuwaga nao kwani unaweza ukawa mama kwa kulea, ukawa aunti wa watoto wa kaka zako.