SYRIA, ANG'OLEWA MADARAKANI BAADA YA KUTAWALA KWA MIAKA 53.

SYRIA, ANG'OLEWA MADARAKANI BAADA YA KUTAWALA KWA MIAKA 53.

Aliyekuwa Rais wa syria, Bashar al Assad ameng'olewa madarakani usiku wa kuamkia leo siku ya jumapili, DISEMBA 8,2024 baad ya waasi kuingia katika mji wa Damascus, inasemekana Rais Assad na familia yake wamekimbilia pasipo julikana baada ya kutawala kwa miaka 53.

video na picha zinasambaa mitandaoni zikionyesha mamia ya watu ya kiandamana na kuvunja sanamu za familia ya Bashar al Assad zilizopo mjini Damascus, milio ya risasi ikisikika katika mji mkuu wa Damascus, wakati waasi wa wakiendelea kupambana na vikosi vilivyokuwa vikimunga mkono raisi Assad.