sishikiki natumia milioni 1 kufanya photoshoot

sishikiki natumia milioni 1 kufanya photoshoot

sishikiki asema anatumia gharama sana kupiga picha hasa kwenye nguo, kumlipa mpiga picha,makeup na hela ndogo sana kwake ni milioni ndogo kwa picha moja kwasababu anapenda kitu kizuri kwahiyo lazima afanye uwekezaji.