
RUTO MWENYEKITI EAC
Rais wa Kenya William Ruto ametangazwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uamuzi huo umetangazwa katika Mkutano wa 24 wa Wakuu wa Nchi Wachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Jijini Arusha Tanzania November 30,2024 Akichukua nafasi hio kutoka kwa Rais wa Sudan, Salva Kir Mayardit ambaye amemaliza muda wake