NUH MZIWANDA NAJUTA KUWA NA SHILOLE

NUH MZIWANDA NAJUTA KUWA NA SHILOLE

Nuh mziwanda akili kudate na shilole kumemfanya ashuke sana kimuziki kwani chochote kile anachofanya aendelei, anamkwamisha sana kwenye kazi zake kumekuwa na vita kubwa kati yake na shilole mara nyingi anawambia watu wasi mshike mkono Nuh mziwanda