MWILI WA NDUGULILE KUWASILI LEO

MWILI WA NDUGULILE KUWASILI LEO

Mwili wa aliyekua Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani(WHO) kanda ya Afrika ambaye pia ni  Mbunge wa kigamboni DKT. FAUSTINE NDUGULILE  utawasili leo saa 6:30 mchana katika uwanja wa kimataifa Julius Kambarage Nyerere,Dar es salaam ukitokea india kwa ndege ya shirika la ndege la Ethopia. 

mwii unatokea india ambapo alikuwa akipatiwa matibabu mapaka umaauti kumpata Novemba 27, 2024 (akiwa na umri 55), mwili utapokelewa na Naibu Spika MUSSA HASSANI ZUNGU akiambatana na Wajumbe wa Tume,Katibu wa bunge, wawakilishi wa serikali na wawakilishi wa chama 

mwili wa marehemu kupelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya JWTZ, Lugalo. December 02 utaagwa katika  viwanja vya  Karimjee kisha December 03  mwili wa  marehemu utaagwa katika viwanja vya mchava kwa ajili ya wananchi kutoa heshima zao za mwisho.

You may also like

DIAMOND AZUNGUMZA KILICHOTOKEA NAIROBI

DIAMOND AZUNGUMZA KILICHOTO...

JAY Z,DIDDY WASHITAKIWA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 13, MWAKA 2000.

JAY Z,DIDDY WASHITAKIWA KUM...

WAFUNGWA 1548 WASAMEHEWA

WAFUNGWA 1548 WASAMEHEWA

SYRIA, ANG'OLEWA MADARAKANI BAADA YA KUTAWALA KWA MIAKA 53.

SYRIA, ANG'OLEWA MADARAKANI...