HEINEKEN NA BATA LA DISEMBA

HEINEKEN NA BATA LA DISEMBA

kampuni ya henken imetangaza sherehe ya kufunga mwaka itakayofanyika leo tarehe 6 hadi tarehe 8 viwanja vya leaders club,kinondoni . pia kutakuwa na wasanii mbalimbali watakao kuwa wanatumbuiza kuanzia siku ya leo ambao ni Moshizo, Zuchu, Lina, Joh makini,Chino, Jauvq, 4preezy, Gnako na master KG watakao shambulia jukwaa hilo.

kinglio kitakuwa 10000 kwa kawaida na 50000 kwa VIP.