
HARMONIZE NILISHAKATAA KUITWA MSANII WA BONGO FLEVA
msanii harmonize amewaonya baadhi ya wandishi wa habari wanao mwita Msanii wa bongo fleva, harmonize amewasisitiza waache kumwita hivyo kwani yeye kwanza akuna yoyote anaweza simama nae peni kwa peni wakamwaga wino ukafanana, pili tangu bongofleva ianze hakuna msanii yoyote alie imba english songo ikawa hit,neno kwa neno bila kubabatiza na akuna anaemkaribia hata kwa kuongea so manayake tunaelewa tofauti mipango tofauti,tatu hakuna msanii kwenye album, nne katika kizazi hiki cha wasanii waliopo ,pengine hata ukirudisha miaka 20 nyuma,kifupi mziki huu wa mama samia haumdai chochote.lazima niwe mkali na niweke msisitizo kwenye hili i stand for it maana nimevifanyia kazi vyote na akuna yoyote alieamini naweza bahati mbaya sana walimsahau mungu, alietamka kondeboy number one,mwaka 2025 tunakuja na Gram hapa.