DIAMOND AZUNGUMZA KILICHOTOKEA NAIROBI

DIAMOND AZUNGUMZA KILICHOTOKEA NAIROBI

Staa wa Bongofleva Diamond Platnumz amesema alishindwa kutumbuiza kwenye tamasha la Furaha Festival Nairobi ,kenya kutokana na vurugu zilizokuwepo siku hiyo ya tukio. pia diamond amekanusha tetesi zinazosema alimzuia Willy Paul kupanda stageni, kwani hat clip zinazosambaa mimi nimemzuia sikuwa kwenye stage, alikuwa anapanda kwenye show za watu wengine ndio wanamzuia,pia amesema usitengeneze chuki ili upendwe na mashabaki, hapana ukijiboresha kwenye kazi zako mashabiki watasikiliza tu nyimbo zako

1 Comments

  1. dadshayma

    mbn hakuna k2