Harmonize Na Kajala Warudiana

Harmonize Na Kajala Warudiana

KAJALA NA HARMONIZE WARUDIANA TENA AMUOMBA MSAMAHA POSH QUEEN AKUBALI YAISHE MWIJAKU AANDIKA HAYA. 
Ogopa walio wahi kulala uchi pa1 mda wote kunaweza tokea lolote hao sasa wamerudiana. Kajala ugumu wa barafu kakaza kalegeza mwenye mchezo bibi kama yule anaenda wapi na maisha yake ni Kiki imebidi akurudishe tu.

5 Comments

  1. voos

    hawa kila siku wao tu aaah tumewachoka bwana

  2. letsshineetz

    mbona mwenzenu nashindwa kucomment jaman au wenzangu mnawezaje

  3. vevo1

    autoapprove feature added and working

  4. vevo4

    aaaaaah tumewachoka bwana kwann kila mtu asitilie tu sasa na familia yake kila siku mtu mzima huyo na vitoto

  5. letsshineetz

    mmmh msijali jaman kila mtanzania atainjoy na Kajala ni mda tu