
BILLNASS AMZAWADIA MTOTO WAKE GARI
kupitia mtandao wake wa snapchat billnass amepost zawadi ya gari aina ya Alphard aliyomzawadia mtoto wake baada ya kugraduate,pia amemwahidi mwanae atakapoingia darasa la kwanza atamzawadia gari aina ya Escalade.
ikumbukwe hapo nyuma pia billnass alishamzawadia mke wake gari katika siku yake ya kuzaliwa na hivi juzi ameweza tena kumzawadia mtot wake gari kama zawadi ya kumaliza stage moja kwenda nyingine.