BILLNASS AMZAWADIA MTOTO WAKE GARI

BILLNASS AMZAWADIA MTOTO WAKE GARI

kupitia mtandao wake wa snapchat billnass amepost zawadi ya gari aina ya Alphard aliyomzawadia mtoto wake baada ya kugraduate,pia amemwahidi mwanae atakapoingia darasa la kwanza atamzawadia gari aina ya Escalade.

ikumbukwe hapo nyuma pia billnass alishamzawadia mke wake gari katika siku yake ya kuzaliwa na hivi juzi ameweza tena kumzawadia mtot wake gari kama zawadi ya kumaliza stage moja kwenda  nyingine.

You may also like

DIAMOND AZUNGUMZA KILICHOTOKEA NAIROBI

DIAMOND AZUNGUMZA KILICHOTO...

JAY Z,DIDDY WASHITAKIWA KUMBAKA BINTI WA MIAKA 13, MWAKA 2000.

JAY Z,DIDDY WASHITAKIWA KUM...

WAFUNGWA 1548 WASAMEHEWA

WAFUNGWA 1548 WASAMEHEWA

SYRIA, ANG'OLEWA MADARAKANI BAADA YA KUTAWALA KWA MIAKA 53.

SYRIA, ANG'OLEWA MADARAKANI...