BABALEVO, MWIJAKU ASHITAKIWE KUKOSOA TANGAZO LA SERENGETI

BABALEVO, MWIJAKU ASHITAKIWE KUKOSOA TANGAZO LA SERENGETI

Msanii na mtangazaji Babalevo amemwambia mwijaku ache kumzungumzia boss wake diamond kwani akiendelea kumuandama boss wake atajikuta mahakamani kabla mwaka huu aujaisha. hii ni baada ya mwijaku kuliponda tangazo alilofanya diamondplatnumz  la kampuni ya serengeti kwa kusema nguo alizovaa aziendani na rangi ya bia kwani diamond amevaa gold badala ya kuvaa kijani.