
BABALEVO, MWIJAKU ASHITAKIWE KUKOSOA TANGAZO LA SERENGETI
Msanii na mtangazaji Babalevo amemwambia mwijaku ache kumzungumzia boss wake diamond kwani akiendelea kumuandama boss wake atajikuta mahakamani kabla mwaka huu aujaisha. hii ni baada ya mwijaku kuliponda tangazo alilofanya diamondplatnumz la kampuni ya serengeti kwa kusema nguo alizovaa aziendani na rangi ya bia kwani diamond amevaa gold badala ya kuvaa kijani.