
AJALI KAGERA
Habari zilizo tufikia hivi punde Kutoka wilayani Karagwe mkioa wa Kagera ya ajali ya barabarani imetokea ikihusisha lori la mizigo na magari mawili ya abiria.
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kuna majeruhi kadhaa pamoja na vifo.